kutokana na faida hizo zinazo patikana katika chakula hiki tumashauliwa kutumiaili kiifanya miili yetu kuwa imara na bora.
Thursday, January 26, 2017
FAIDA YA KULA NDIZI ZA KUPIKWA
Ndizi ni moja ya vyakula pendwa na watu wengi katika maeneo mengi.Leo tunaongelea faida kula ndizi za kupikwa zilizochanganywa na nyama,kama unavyoona hapo kwenye picha ni ndizi zilizochanganywa na nyama kama watu wengi wanavyopenda.
Kwa mujibu wa wataalamu wa lishe ,ndizi zina viritubisho vya aina mbalimbali kama protini,mafuta,karishiamu,wanga,na chuma,pamoja na vitamini A,B,C na maji.
kutokana na faida hizo zinazo patikana katika chakula hiki tumashauliwa kutumiaili kiifanya miili yetu kuwa imara na bora.
kutokana na faida hizo zinazo patikana katika chakula hiki tumashauliwa kutumiaili kiifanya miili yetu kuwa imara na bora.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment