Tuesday, January 24, 2017

UMUHIMU WA CHAKULA CHA ASILI


                           UMUHUMU WA CHAKULA CHA ASILI                  
       Chakula ni muhimu sana kwa binadamu kwani husaidia kuupa nguvu mwili wa binadamu.Chakulacha asili katika mwili wa binadamu ni muhimu kwasababu chakula hiko kinakua katika hali ya uasilikwa maana ya kua hakina mchanganyiko wa vitu vingi ambao unaweza kusababisha madhara ya kiafya katika mwili wa binadamu.
        Mfano mihogo,viazi,pamoja na vyakula vinginevyo vyene asili ya mizizi,vyakula hivyo ni muhimu sana katika mwili wa binadamu.
        kwahiyo ni muhimu kwa afya zetu kutumia vyakula hivi kwani ni muhimu sana kwa afya zetu.


No comments:

Post a Comment