
Viazi vitamu ni miongoni mwa vyakula aina ya wanga na vyenye faida tele mwilini mwa binadamu ambovyo pia vina viini lishe zinazoweza kukinga na kutibu baadhi ya maradhi katika mwili wa binadamu.
viazi vitamu vina utajiri wa vitamini vya aina nyingi kama A,B5,B6,C,E,madini ya potasiumu,magneziumu,zinki,sukari ya asili,nyuzi lishe,na Beta-carotenepamoja na choline.
kumbe ni vizuri sana asante kwa kutufahamisha
ReplyDelete